NHC Yazindua Mauzo ya Nyumba Dar, Tanga na Tabora

Oktoba 01, 2025, Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limezindua rasmi mauzo ya nyumba katika miradi mikubwa ya kisasa jijini Dar es Salaam na mikoa ya Tanga na Tabora.

Please wait while flipbook is loading. For more related info, FAQs and issues please refer to DearFlip WordPress Flipbook Plugin Help documentation.

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Kugawa Nyumba 560 kwa Wanunuzi wa Samia Housing Scheme

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linatarajia kuanza kugawa nyumba za makazi 560 mwezi Oktoba kwa wanunuzi wa nyumba katika mradi wa Samia Housing Scheme (SHS) uliopo Kawe, Jijini Dar es Salaam, baada ya hatua za mwisho za ukamilishaji wa awamu ya kwanza kufikia tamati. Hatua hii ni sehemu ya mpango mkubwa wa kujenga nyumba 5,000 ambazo zitakuwa alama ya makazi bora na ya kisasa nchini.

Please wait while flipbook is loading. For more related info, FAQs and issues please refer to DearFlip WordPress Flipbook Plugin Help documentation.

TAMICO TAIFA YAUMWAGIA SIFA TELE UONGOZI WA NHC

Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Migodi, Nishati, Ujenzi na Kazi nyinginezo (TAMICO) kimelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa kuwalea na kuwatunza Watumishi na hivyo kulifanya kuwa moja ya taasisi zenye nguvu na afya kiuchumi nchini.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa TAMICO Taifa, Mhandisi Nchama Wambura wakati akitoa salamu za chama hicho kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa unaofanyika kwa siku mbili tarehe 1 aprili, 2023 na 2 aprili, 2023 , Makao Makuu ya NHC Kambarage House Dar es Salaam.

Please wait while flipbook is loading. For more related info, FAQs and issues please refer to DearFlip WordPress Flipbook Plugin Help documentation.

NAIBU WAZIRI PINDA ATAKA NHC IWE YA KIMATAIFA KWA KUCHUKUA FURSA YA UJENZI WA BALOZI NJE YA NCHI

Machi 22, 2023, Ziara ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geofrey Mizengo Pinda aliyoifanya katika Shirika la Nyumba la Taifa, Amelitaka shirika liwe la kimataifa zaidi kwa kuchangamkia fursa ya ujenzi wa majengo ya Balozi nje ya nchi kwani Serikali inamiliki mapande makubwa ya ardhi huko ambayo bado hayajafanyiwa kazi ipasavyo.

Please wait while flipbook is loading. For more related info, FAQs and issues please refer to DearFlip WordPress Flipbook Plugin Help documentation.

Visit Now..!

NHC Intends to embarks in development of 1000 housing-units project in Dodoma

Iyumbu area for sale and Chamwino area for lease
Visit Now..!