The minister for Land, Housing and Human Settlement Development, Mr William Lukuvi, has advised councils and government institutions to issue tenders to the National Housing Cooperation (NHC) for implementation of building projects, commending the corporation for meeting international standards.
Read moreHalmashauri ya mji wa Chato ikishirikiana na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) inawaletea mradi wa uuzaji wa viwanja vya matumizi mbalimbali katika eneo la Rubambangwe lilipo katika mji wa Chato pembezoni mwa Ziwa Victoria na barabara kuu iendayo Bukoba.
Read more