KAMATI YA BUNGE YA PIC YATOA WITO KWA SERIKALI KUTOINGILIA NA KUSIMAMISHA MIRADI

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa mitaji ya Umma (PIC) imelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa kwa uwekezaji mkubwa lililoufanya na linaloendelea kuufanya katika maeneo mbalimbali nchini na kutoa wito kwa Serikali kuacha kuingilia na kusimamisha miradi ya kibiashara kwani kufanya hivyo kunasababisha hasara kwa Mashirika ya Kibiashara na Serikali kwa ujumla.
(tarehe 30/04/2023)

Please wait while flipbook is loading. For more related info, FAQs and issues please refer to DearFlip WordPress Flipbook Plugin Help documentation.

KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA MRADI WA TANZANITE

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa – NHC kwa hatua iliyofikiwa ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa jengo la Soko la Madini ya Tanzanite unaotekelezwa katika Mji mdogo wa Mirerani Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara., Machi 18, 2023.

Please wait while flipbook is loading. For more related info, FAQs and issues please refer to DearFlip WordPress Flipbook Plugin Help documentation.

TAMICO TAIFA YAUMWAGIA SIFA TELE UONGOZI WA NHC

Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Migodi, Nishati, Ujenzi na Kazi nyinginezo (TAMICO) kimelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa kuwalea na kuwatunza Watumishi na hivyo kulifanya kuwa moja ya taasisi zenye nguvu na afya kiuchumi nchini.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa TAMICO Taifa, Mhandisi Nchama Wambura wakati akitoa salamu za chama hicho kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa unaofanyika kwa siku mbili tarehe 1 aprili, 2023 na 2 aprili, 2023 , Makao Makuu ya NHC Kambarage House Dar es Salaam.

Please wait while flipbook is loading. For more related info, FAQs and issues please refer to DearFlip WordPress Flipbook Plugin Help documentation.

NAIBU WAZIRI PINDA ATAKA NHC IWE YA KIMATAIFA KWA KUCHUKUA FURSA YA UJENZI WA BALOZI NJE YA NCHI

Machi 22, 2023, Ziara ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geofrey Mizengo Pinda aliyoifanya katika Shirika la Nyumba la Taifa, Amelitaka shirika liwe la kimataifa zaidi kwa kuchangamkia fursa ya ujenzi wa majengo ya Balozi nje ya nchi kwani Serikali inamiliki mapande makubwa ya ardhi huko ambayo bado hayajafanyiwa kazi ipasavyo.

Please wait while flipbook is loading. For more related info, FAQs and issues please refer to DearFlip WordPress Flipbook Plugin Help documentation.

Visit Now..!

NHC Intends to embarks in development of 1000 housing-units project in Dodoma

Iyumbu area for sale and Chamwino area for lease
Visit Now..!